Kilimo360 - Smart Farming for Tanzanian Farmers

    Manage your farm smarter, not harder - right from your phone.

    Over 1,000 farmers in Tanzania trust Kilimo360 to track everything β€” from planting to harvest, income to livestock β€” all in one app, right from their phone.

    Zaidi ya wakulima 1,000 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania wanatumia Kilimo360 kufuatilia kila kitu β€” kutoka kupanda hadi kuvuna, mapato hadi shughuli za mifugo β€” yote ndani ya app moja, kupitia simu zao.

    Jiunge leo utumie app bure kwa siku 14 / Start your 14 day free trial today

    Tafadhali Chagua Lugha yako / Please select your language

    🧩 What Kilimo360 Does

    Kilimo360 helps you organize your entire farming operation in one simple app. Whether you're planting maize, managing chickens, or tracking expenses β€” it's all recorded, all in your pocket.

    βœ… Features at a glance:

    • 🌽 Track planting & harvesting

    • πŸ„ Manage livestock activities

    • πŸ’° Record income & expenses

    • πŸ“Š View auto-generated reports

    • 🌍 Use in Swahili or English

    • πŸ“± No download needed – just open on your phone.

      🧩 Kazi ya Kilimo360 ni Nini?

      Kilimo360 hukusaidia kupanga na kutunza kumbukumbu za shughuli zako zote za kilimo na mifugo katika app moja kwa urahisi kabisa. Iwe unapanda mahindi, unatunza mifugo, au unafuatilia mapato β€” yote yanarekodiwa muda wowote na popote kupitia simu yako ya mkononi.

      βœ… Vipengele Vilivyopo ndani ya App:

      • 🌽 Fuatilia upandaji na uvunaji wa mazao

      • πŸ„ Simamia shughuli za mifugo

      • πŸ’° Rekodi mapato na matumizi

      • πŸ“Š Tazama ripoti zinazojitengeneza kiotomatiki

      • 🌍 Tumia kwa Kiswahili au Kiingereza

      • πŸ“± Hakuna haja ya kupakua β€” fungua moja kwa moja kwenye simu yako

    Kilimo360

    Why Tanzanian Farmers Love Kilimo360

    βœ… Easy to use, even without technical experience
    βœ… Works on any smartphone β€” no app to install
    βœ… Designed with real Tanzanian farming needs in mind.
    βœ… Saves time, improves record accuracy
    βœ… Affordable plans with a 14-day free trial

    πŸ’Έ Get Started for Free

    No credit card required.

    Try Kilimo360 completely free for 14 days.

    Kwa nini wakulima wa Tanzania wanaipenda Kilimo360

    βœ… Rahisi kutumia hata bila uzoefu wa teknolojia.
    βœ… Inafanya kazi kwenye aina yoyote ya simu ya mkononi β€” hakuna app ya kupakua
    βœ… Imeundwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya kilimo nchini Tanzania.
    βœ… Huokoa muda na kuboresha usahihi wa kumbukumbu za shamba na mifugo
    βœ… Bei nafuu na unapata majaribio ya bure kwa siku 14.

    πŸ’Έ Anza Kutumia Bure

    Hakuna kadi ya benki inayohitajika.
    Jaribu Kilimo360 bure kabisa kwa siku 14.

    πŸ“£ What Farmers Are Saying (Testimonial)

    β€œBefore I started using Kilimo360, I was writing everything in a notebook. Now I can check all my farming records from my phone β€” even totals for each crop. It's simple and clear.”
    – Franko Lubuva, Tabora

    πŸ“£Ushuhuda kutoka kwa Mkulima kuhusu Kilimo360

    β€œKabla ya Kilimo360, nilikuwa siweki kumbumbuku nzuri za shughuli zangu za shamba na mifugo, kila kitu niliandika kwenye daftari na wakati mwingine sikuandika kabisa. Lakini sasa naweza kuona na kuweka kumbukumbu zangu zote kwenye simuβ€” hadi jumla ya mazao ya kila aina. Ni rahisi kuitumia na wazi kabisa.”
    – Jumanne M., Dodoma

    πŸ“ž Questions? Contact Us

    WhatsApp:

    +255 713 474 999

    +1 (808) 590 5949

    Email : digitalbydorothy@gmail.com
    Instagram: @digitalbydorothy

    Kilimo360 - Manage your farm smarter, not harder - right from your phone.

    Kilimo 360 - Tumia simu yako kusimamia shamba lako kwa akili na si kwa nguvu.

    www.kilimo360.org| Privacy policy | Legal | Terms and conditions